GET /api/v0.1/hansard/entries/341756/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 341756,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/341756/?format=api",
    "text_counter": 521,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Joho",
    "speaker_title": "The Assistant Minister for Transport",
    "speaker": {
        "id": 30,
        "legal_name": "Hassan Ali Joho",
        "slug": "hassan-joho"
    },
    "content": "Kwa niaba ya watu wa Kisauni na Mombasa County kuwa jumla, ni hivi juzi tu, tuliweza kuwa na Mhe Rais katika bandari ya Mombasa akianzisha mradi wa kuongeza uwezo wa biashara katika County ya Mombasa. Niligundua kwamba mara ya mwisho mradi ulifanyika katika County ya Mombasa na bandari ya Mombasa ilikuwa ni mwaka wa 1980; yeye pia alishugulika kama waziri wa fedha siku hizo kuhakikisha kwamba mradi huo ulifanyika."
}