GET /api/v0.1/hansard/entries/346586/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 346586,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/346586/?format=api",
    "text_counter": 543,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Githae",
    "speaker_title": "The Minister for Finance",
    "speaker": {
        "id": 159,
        "legal_name": "Robinson Njeru Githae",
        "slug": "robinson-githae"
    },
    "content": " Asante sana, Bw. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia hii nafasi. Ninataka kuwahakikishia machifu kuwa kazi yao ipo. Machifu waendelee kufanya kazi bila wasiwasi wowote. Kwa hivyo, wasibabaishwe na mtu yoyote. Kazi yao ni muhimu sana katika utawala wa nchi hii. Tunapitisha Mswada huu ili tulinde wananchi na mali yao. Wanafanya kazi nzuri sana. Kwa hivyo, wasiambiwe na mtu kwamba tukifanya uchaguzi hawatakuwa na kazi. Manaibu wa machifu waendelee kufanya kazi bila kutishwa na mtu yeyote kwa sababu kazi yao ni muhimu kwa utawala wa nchi hii. Tunaifurahi kazi ya machifu na manaibu wao. Kwa hayo machache, ninaunga mkono Mswada huu."
}