GET /api/v0.1/hansard/entries/346638/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 346638,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/346638/?format=api",
    "text_counter": 595,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, Wakuu wa Wilaya, county commissioners, na machifu wamekuwa watu wa maana sana kwa nchi yetu kwa muda mrefu na katika Katiba ya 2010 ya Kenya, Sehemu ya 17, Schedule 6, tulikuwa tumetengeneza namna ya kuweza kurekebisha maneno ya utawala. Kuna kipengee ambacho kinaongea juu ya utawala. Kwa hayo machache, ninaunga mkono Mswada huu."
}