GET /api/v0.1/hansard/entries/346983/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 346983,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/346983/?format=api",
"text_counter": 219,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mrs. Leshomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Bi. Naibu Spika wa Muda ningependa kumwunga mkono Waziri wa Fedha na kumwambia ahsante kwa yale aliyoyafanya katika Mswada huu. Yeye ametulia na kuvumilia. Amesikia maoni ya Wabunge na kwa hivyo tunaunga mkono."
}