GET /api/v0.1/hansard/entries/347284/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 347284,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/347284/?format=api",
    "text_counter": 94,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mung’aro",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 76,
        "legal_name": "Gideon Mung'aro Maitha",
        "slug": "gideon-maitha"
    },
    "content": "Bw. Spika, namshukuru Waziri Msaidizi kwa sababu amesema alichelewa kuja Bungeni kwa sababu ya msongamano wa magari pale Kibarani. Nataka kumuuliza, ni mikakati gani anayo ya kuhakikisha kwamba gari la moshi linafanya kazi kuanzia Mariakani, Mombasa, Uwanja wa Ndege wa Moi na kutoka Mombasa hadi Malindi?"
}