GET /api/v0.1/hansard/entries/347285/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 347285,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/347285/?format=api",
"text_counter": 95,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Joho",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 30,
"legal_name": "Hassan Ali Joho",
"slug": "hassan-joho"
},
"content": "Bw. Spika, ningependa kumwambia Bw. Mung’aro kwamba Wizara ina mipango kambambe ya kuweza kuboresha hali ya uchukuzi hapa jijini na Mombasa ambako msongamo wa magari umenifanya nichelewe kufika hapa Bungeni leo. Kuna mipango ya kaunti tofauti na Mombasa ni moja ambayo tunaiangalia kuona kwamba tunaweza kuhamisha hata shughuli nyingi za kibandari katika maeneo ya Mariakani na kwingineko. Kwa hivyo, hali italazimisha kwamba tuwe na uwezo wa kuwezesha usafiri wa reli kutoka Mombasa na vitongoji vyake. Kwa hivyo, kuna mipango maalum ya kuona doto hii imetimilika kwa kipindi cha miaka mitatu ijayo au ifikiapo 2015."
}