GET /api/v0.1/hansard/entries/34786/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 34786,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/34786/?format=api",
    "text_counter": 189,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mungatana",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 185,
        "legal_name": "Danson Buya Mungatana",
        "slug": "danson-mungatana"
    },
    "content": "Bw. Spika, miaka michache iliyopita, kulikuwa kukiingizwa unga wa manjano hapa nchini wakati kulikuwa na njaa. Lakini kulikuwa na wasi wasi sana miaka hio. Watu walisema eti hiyo ilikuwa chakula ya ng’ombe, mbuzi na mambo kama hayo. Sasa wakati huu, huku tukiwa na baa la njaa, wananchi wanataka kujua: Je, hii chakula ya GMO iko sawa kwa wananchi kutumia ama vipi ? We want an authoritative Government statement on this matter."
}