GET /api/v0.1/hansard/entries/349174/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 349174,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/349174/?format=api",
    "text_counter": 280,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Maj. Godhana",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 23,
        "legal_name": "Dhadho Gaddae Godhana",
        "slug": "dhadho-godhana"
    },
    "content": "Ahsante sana, Bw. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii. Nimesimama kuiunga mkono Hoja hii. Kwanza ningependa kutuma rambirambi na pole zangu kwa jamaa na marafiki waliopoteza wapenzi wao katika kaunti ya Tana River na kule Baragoi, na hasa wale"
}