GET /api/v0.1/hansard/entries/349206/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 349206,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/349206/?format=api",
"text_counter": 312,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Yakub",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 378,
"legal_name": "Sheikh Yakub Muhammad Dor",
"slug": "sheikh-dor"
},
"content": "Labda tama ndio itakuwa nzuri na Bunge la Kumi na Moja nitakuwa hapa, Inshallah. Bw. Naibu Spika wa Muda, napenda kuichukia nafasi hii kukishukuru chama cha National Muslim Leaders Forum (NAMLEF) wakishiriana na Council of Imams and Preachers of Kenya (CIPK) kwa kuniwezesha kuchaguliwa au kuteuliwa kwenye Bunge"
}