GET /api/v0.1/hansard/entries/349239/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 349239,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/349239/?format=api",
"text_counter": 345,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Kabogo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 162,
"legal_name": "William Kabogo Gitau",
"slug": "william-kabogo"
},
"content": "Asante Bw. Naibu Spika wa Muda. Ninataka nichukue fursa hii kwanza niwashukuru sana wapendwa wakaaji wa eneo la kisiasa la Juja kwa sababu ya kunileta hapa Bungeni. Mwanzoni mwa 2002, wakati wa KANU ulikuwa wakati wa kuibiwa mchujo; lakini wakaaji wa Juja walikataa na mimi nikiwa katika chama kidogo cha Sisi kwa Sisi. Nilikuja hapa Bungeni na nikafanya kazi. Mwaka wa 2007, pia wakanichagua lakini nikaibiwa kura tena; nilirudi tena mwaka wa 2010 wakanipigia kura. Wakati huo ninakumbuka Makamu wa Rais alikuwa upande ule mwingine na wengine wakijaribu kuniondoa; hata rafiki yangu mhe Uhuru---"
}