GET /api/v0.1/hansard/entries/350726/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 350726,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/350726/?format=api",
    "text_counter": 138,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County Women Representative",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 874,
        "legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
        "slug": "mishi-juma-khamisi"
    },
    "content": "(Hon. (Ms.) Khamisi) : Asante sana Bw. Spika. Ninaitwa Mishi Juma na ni muwakilishi wa akina mama katika kaunti ya Mombasa. Kwanza kabisa, napenda kukupa pongezi nyingi kwa kuchaguliwa katika kiti chako hicho; pia nataka kutoa pongezi kwa Hotuba ya Mtukufu Rais, Uhuru Kenyatta. Nina machache ya kuzungumzia katika ajenda zake alizozungumzia kuhusu ya nchi yetu ya Kenya."
}