GET /api/v0.1/hansard/entries/350729/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 350729,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/350729/?format=api",
"text_counter": 141,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County Women Representative",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 874,
"legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
"slug": "mishi-juma-khamisi"
},
"content": "Bw. Spika, jambo la pili ni swala hili la kutolipa ada wakati wa kuzaa. Mimi namshukuru Mheshimiwa kwa jambo hili lakini nataka kusema kwamba hatukuelezewa kinagaubaga pesa hizi zitatoka wapi. Nahofia kwamba Wakenya watatozwa ushuru kuweza kufidia jambo kama hili kwa sababu mahali ninapotoka katika kaunti ya Mombasa, Coast General Hospital sasa hivi tunalipishwa Kshs1,800 kwa kujifungua kikawaida. Ukizaa kwa kupasuliwa unalipa Kshs7,500,"
}