GET /api/v0.1/hansard/entries/351078/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 351078,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/351078/?format=api",
    "text_counter": 71,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Dr. Shaban",
    "speaker_title": "The Member for Taveta",
    "speaker": {
        "id": 139,
        "legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
        "slug": "naomi-shaban"
    },
    "content": "Ningependa tukumbuke kwamba ni siku ya Jumatano asubuhi ambayo Wabunge hawatakuwa na shughuli zinazotokana na chama na wanaweza kuzungumzia maswala au kufuatia kanuni ambazo zimebuniwa na Bunge hili. Wabunge wa Bunge la Kumi na Moja ni wengi sana na ninaunga mkono Hoja hii kwamba Muda uliotengewa kila Mbunge ni sawa kabisa. Jambo hili linatokana na idadi ya Wabunge ambao wako katika Bunge hili la Kumi na Moja."
}