GET /api/v0.1/hansard/entries/351164/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 351164,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/351164/?format=api",
"text_counter": 157,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kwale County Women Representative",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 751,
"legal_name": "Zainab Kalekye Chidzuga",
"slug": "zainab-kalekye-chidzuga"
},
"content": "Kwanza, nimesimama kuiunga mkono Hoja hii kama ilivyo, kwa sababu muhimu ni lile ambalo unalizungumza na uzito wake; siyo maneno matupu. Pili, ningependa kuwapongeza Wabunge wote walioteuliwa. Tatu, ninawaomba Wabunge wasichukulie kwamba sisi akina mama tulio hapa tumekuja kuteta. Tumekuja hapa kuungana na kushirikiana ili tulijenge taifa la Kenya."
}