GET /api/v0.1/hansard/entries/352088/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 352088,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/352088/?format=api",
"text_counter": 48,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms) Chidzuga",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 751,
"legal_name": "Zainab Kalekye Chidzuga",
"slug": "zainab-kalekye-chidzuga"
},
"content": "Shukrani sana mhe. Spika. Nasimama kuunga mkono Hoja hii, lakini kabla sijaunga mkono, ningependa kuhimiza kwamba Hoja hii--- Katika Kamati hii ambayo itawachunguza Mawaziri, tungetaka tuwe na watu ambao hawakukataliwa na wananchi. Wale waliokataliwa na wananchi ni wazi kwamba hawataweza kutekeleza matakwa ya Wakenya. Kwa hivyo, mtakapokuwa mnatuletea majina hapa, na maoni haya pia yamfikie Mhe Rais wetu, tunahitaji wale ambao hawakukataliwa na wananchi; tunataka wapewe nyadhifa za kuweza kutufanyia kazi katika Kenya na sio kuwa Mawaziri peke yake. Tunataka hata katika ubalozi na tume zote tupate watu ambao ni wapya na tuanze nao kazi."
}