GET /api/v0.1/hansard/entries/352167/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 352167,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/352167/?format=api",
"text_counter": 127,
"type": "speech",
"speaker_name": "Laikipia County Women Representative",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 769,
"legal_name": "Jane Agnes Wanjira Machira",
"slug": "jane-agnes-wanjira-machira"
},
"content": "(Hon. (Ms.) Machira): Shukrani, Mhe. Spikar. Ni pongezi kwako kwa kuchaguliwa kama Spika wetu. Nikiongezea, ningependa kusema kwamba nilikuwa afisa wa uhusiano mwema na ndio sababu hakukuwa na fujo yoyote wakati ulichaguliwa. Nasema ahsante pia kwa wabunge wenzangu."
}