GET /api/v0.1/hansard/entries/352243/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 352243,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/352243/?format=api",
    "text_counter": 203,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Aburi",
    "speaker_title": "The Member for Tigania East",
    "speaker": {
        "id": 2901,
        "legal_name": "Lawrence Mpuru Aburi",
        "slug": "lawrence-mpuru-aburi"
    },
    "content": ". Naomba Serikali inayoongozwa na Rais Uhuru Kenyatta na Bw. Ruto - kwa sababu wako pamoja - waunganishe watu wa Tigania Mashariki ili waweze kupanda kahawa. Kahawa ilisaidia sana kuimarisha elimu katika eneo la Tigania Mashariki. Mhe. Spika, Jumapili, nilitembea katika Mkoa wa Kati na rafiki yangu mmoja hapa ambaye sitaki kumtaja. Tulienda kanisani na yeye na akaniuliza: “Mhe. Aburi, nitatoa nini?” Na mimi nikamuuliza: “Kwa nini unaniuliza hivyo?” Akajibu: “Mshahara"
}