GET /api/v0.1/hansard/entries/352269/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 352269,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/352269/?format=api",
    "text_counter": 229,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Ngunjiri",
    "speaker_title": "The Member for Bahati",
    "speaker": {
        "id": 1179,
        "legal_name": "Onesmas Kimani Ngunjiri",
        "slug": "onesmas-kimani-ngunjiri"
    },
    "content": " Mhe. Spika, jina langu ni Onesmas Kimani Ngunjiri kutoka sehemu ya uwakilishi ya Bahati. Kwanza, ningependa kuwashukuru wakazi wa Bahati kwa kunichagua na kuweka rekodi. Kutoka mwaka wa 1963, Mbunge aliyechaguliwa kwa kura nyingi zaidi katika eneo Bunge hilo ni mimi, Kimani Ngunjiri. Kwa hivyo, ninawashukuru sana watu wa Bahati. Pia ningependa kukupongeza, mhe. Spika, kwa kuteuliwa kuwa Spika wetu. Pili, ningependa kuichangia Hoja tunayoizungumzia leo kuhusu Hotuba ya Rais wetu. Mara nyingi, ndoto humsumbua mwenye kuota lakini siyo mwenye kutafsiriwa. Rais wetu anajua anachozungumzia. Sidhani kama kuna rais aliyechaguliwa na kura"
}