GET /api/v0.1/hansard/entries/352273/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 352273,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/352273/?format=api",
    "text_counter": 233,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Ningependa Wabunge wote, wawe ni wale wa CORD au wa Jubilee waungane. Inafaa tufanye kazi pamoja kama Wabunge ambao wanafikiria mambo ya Kenya. Tukishirikiana tutawasaidia watu wetu. Watu wetu wanangojea kuona vile tutazungumzia au kutatua shida zao. Watu wetu hawako tayari kuona upishi tulionao katika Bunge hili."
}