GET /api/v0.1/hansard/entries/352274/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 352274,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/352274/?format=api",
    "text_counter": 234,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Mhe. Spika, nikimalizia, ningependa kusema kwamba katika Kaunti ya Nakuru, Wabunge ambao wamechaguliwa tena ni watatu pekee, na Wabunge wageni ni wanane. Kaunti yetu iko na Wabunge kumi na moja. Mhe. Spika, usitusukume mpaka tufike kiwango ambacho nimeona Mheshimiwa mwenzangu akizunguka tangu tulipoingia hapa ili aweze “kukamata macho yako.” Tafuta njia ili uweze kujua Wabunge wa Kaunti ya Nakuru kwa sababu tumeachwa nyuma kwa muda mrefu sana. Ukiangalia mambo ya uteuzi---"
}