GET /api/v0.1/hansard/entries/352337/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 352337,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/352337/?format=api",
"text_counter": 297,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Wengi wa wale wanaoadhirika kwa sababu ya ukosefu wa maji ni akina mama. Mwanamke akiamka ni lazima apange jamii yake itakula nini. Asubuhi ni lazima mwanamke aende kuchota maji mbali, na labda ana mtoto mgongoni ama ni mjamzito. Kwa hivyo, hili ni suala ambalo tunafaa kuliangazia katika nchi yetu ili kuhakikisha kwamba binadamu wamepata maji na kuona kwamba kuna barabara nzuri za kupelekea mavuno yao sokoni na pia---"
}