GET /api/v0.1/hansard/entries/352346/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 352346,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/352346/?format=api",
"text_counter": 306,
"type": "speech",
"speaker_name": "The Member for Kuria East",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Mhe. Spikar, kama ulivyotaja, mimi ni mhandisi Shadrack Manga, Mbunge wa Kuria Mashariki. Ningependa kusema kwamba kwa miaka mingi iliyopita, hatujapata hotuba ya kuchemsha, ya vitendo na ya kuonyesha uzalendo kama tuliyopata kutoka kwa Mhe. Rais wetu. Leo, tunauzungumzia vipengele vyake. Nilifurahi sana kwa sababu vipengele kuhusu amani, elimu na kutuinua kutoka kwa umaskini. Hizi ndizo zilikuwa ahadi zangu kwa wananchi nilipokuwa nikiwaomba kura."
}