GET /api/v0.1/hansard/entries/352349/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 352349,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/352349/?format=api",
    "text_counter": 309,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Mhe. Spikar, haya mambo matatu ni ya maana sana. Mhe. Rais ametuhakikishia kwamba tukiungana naye Kenya itakuwa moja, na tukijitolea tutakuwa na amani. Bila amani hakuna maendeleo. Pia, watu wetu hawawezi kupiga hatua bila elimu. Tunafurahi sana kwamba Mhe. Rais wetu amefikiria juu ya watoto wetu. Alisema kwamba hata wale watoto wachanga, waanze kufundishwa kutumia l aptop . Hii ni kusema watumie komputa. Kama ninavyojua hii ni teknolojia ambayo ni mpya. Kama hili jambo linawezekana, na nina hakika linawezekana, basi tutakuwa tumepiga hatua hasa katika nchi zetu za Afrika. Tutawanoa watoto wetu na wataongoza siku za usoni."
}