GET /api/v0.1/hansard/entries/352350/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 352350,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/352350/?format=api",
"text_counter": 310,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Mhe. Spikar, unajua kwamba sisi tuna shida, hasa sisi ambao tumekuwa tukiomba kura kutoka kwa wananchi kwa sababu ya umaskini. Umaskini wetu unanuka kila mahari. Kwa hivyo, kama kutakuwa na njia, na Rais wetu ataweza kuleta njia ya kuweza kupunguza umaskini wa watu wetu, basi litakuwa ni jambo la maana sana."
}