GET /api/v0.1/hansard/entries/352585/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 352585,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/352585/?format=api",
    "text_counter": 145,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Jambo lingine nataka kuzungumzia ni la zile pesa ambazo zitapatiwa akina mama na vijana. Tunamshukuru Mhehsimiwa Rais lakini tunataka kujua ni asilimia ngapi itakwenda kwa vijana, na ni asilimia ngapi itakwenda kwa akina Mama. Pia hatutaki taasisi za fedha, ama microfinance institutions, ambazo zinagandamiza akina mama na vijana kwa kuwatoza ada na riba kubwa. Akina mama hatuwezi kutozwa ada kama hizo. Tunataka mikakati mwafaka ambayo itafaa jamii, akina mama na vijana, na tuweze kupata pesa hizo bila kuwa na tashwishi."
}