GET /api/v0.1/hansard/entries/352734/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 352734,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/352734/?format=api",
"text_counter": 294,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Wekesa",
"speaker_title": "The Member for Saboti",
"speaker": {
"id": 2742,
"legal_name": "David Wafula Wekesa",
"slug": "david-wafula-wekesa"
},
"content": "Nikizungumzia suala la barabara, miaka kadhaa iliyopita kuna sehemu ambako ngâombe na mbuzi walikuwa wakilala kwenye barabara lakini kwingineko hakukuwa na barabara za lami. Ukitembelea sehemu ya uwakilishi Bungeni ya Saboti, huwezi kuona hata barabara moja ambayo imewekwa lami kilomita tano. Kuhusu elimu, katika eneo langu la Saboti huwezi kuona shule hata moja yenye kiwango cha mkoa ama kitaifa."
}