GET /api/v0.1/hansard/entries/352929/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 352929,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/352929/?format=api",
"text_counter": 70,
"type": "speech",
"speaker_name": "Dr. Shaban",
"speaker_title": "The Member for Taveta",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": " Ahsante sana Mhe. Spika. Ningependa kuchukua nafasi hii kukupongeza kwa kuchaguliwa kuwa Spika wa Bunge hili la Kumi na Moja. Vile vile, ninawapongeza wenzangu wote waliochaguliwa kama Wabunge. Hasa ninawapongeza watu wa eneo la Bunge la Taveta kwa kunichagua kuwa Mbunge wao tena. Huu ni muhula wangu wa tatu katika Bunge hili."
}