GET /api/v0.1/hansard/entries/354376/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 354376,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/354376/?format=api",
    "text_counter": 237,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "katika Lamu. Tayari Lamu imekosa watalii kwa sababu hakuna usalama. Tatizo ni kwamba hatuna usalama. Magaidi wameingia Kenya kutoka nchi jirani ya Somalia na kufika Lamu, Kiunga. Wanaoathirika ni wakaazi wa pale na walinda usalama wetu. Hatujawa na hadhari kabla jambo halijafanyika. Wao huja kuingilia mambo baada ya mambo kufanyika. Kwa hakika wanoathirika zaidi ni wananchi wakaazi wa pale. Wengi wao hawana hatia. Kwa mfano lilipotokea tukio pale Mkokoni, kuna wavuvi kutoka Shakane ambao waliuawa na walinda usalama. Haya si mambo tunayazungumza hapa kwa ajili ya kuzungumza tu. Tunayazungumza kwa sababu tukitoka hapa---"
}