GET /api/v0.1/hansard/entries/354521/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 354521,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/354521/?format=api",
    "text_counter": 382,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "kwamba siku za nyuma Rais mstaafu alijaribu kuwapatia baadhi yao hati za kumiliki ardhi lakini kuna lokesheni zingine kama vile Bangale ambako hakuna hata nchi moja ambayo imewahi kupimwa. Ingekuwa vyema masoroveya waelekezwa kule wapime mashamba hayo ile tuweze kufanya kilimo---"
}