GET /api/v0.1/hansard/entries/355996/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 355996,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/355996/?format=api",
    "text_counter": 142,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 252,
        "legal_name": "Ali Wario",
        "slug": "ali-wario"
    },
    "content": "Mheshimiwa Spika, Kipengele 86 cha Kanuni za Bunge kinamkataza Mbunge yeyote kuzungumza juu ya suala lililopangwa kuwa mbele ya Kamati. Kipengele hiki kinawazuia Wabunge kuzungumzia kile ambacho kitajadiliwa na wanakamati. Tunayo kamati iliyochaguliwa nayo itazungumza juu ya Mawaziri wateule. Haya tunayozungumza hapa ni mazungumzo ya hiyo Kamati. Naomba kipengele hicho kiongoze ushauri wetu."
}