GET /api/v0.1/hansard/entries/357455/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 357455,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/357455/?format=api",
"text_counter": 68,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Dr). Shaban",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": "Tume hii ambayo inashughulikia masuala hayo lazima itagongana kidogo na Wizara ya Fedha kwa sababu hawajafanya kazi pamoja. Hii ndio sababu kipengele cha 199 cha Katiba kinasema watu wajadiliane na wazungumze ili wasikosane. Kulitalajiwa kwamba wakati wa kuanzisha masuala haya ni lazima kutakuwa na hali ya wasiwasi."
}