GET /api/v0.1/hansard/entries/357458/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 357458,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/357458/?format=api",
    "text_counter": 71,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Dr). Shaban",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 139,
        "legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
        "slug": "naomi-shaban"
    },
    "content": "Jambo la kusikitisha sana ni kwamba katika serikali ya ugatizu kuna bunge la kauti. Hili bunge linaweza kupatiwa makadirio yao ili kila atakayeangalia ajue kwamba bunge lile lina uhuru na haki ya kufanya shughuli zake bila kusumbuliwa na wale wanaosimamia serikali ya ugatuzi."
}