GET /api/v0.1/hansard/entries/357462/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 357462,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/357462/?format=api",
    "text_counter": 75,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Mheshimiwa Spika, mimi sina budi kuunga mkono na kuwaomba wenzangu kwamba kuna umuhimu wa sisi kufanya kazi pamoja. Bunge la Kumi na Moja ni tofauti na mabunge mengine ambayo yamepita kwa sababu hapo awali tulikuwa na Rais na Makamu wa Rais hapa wakiwakilisha maeneo yao ya uwakilishi bungeni."
}