GET /api/v0.1/hansard/entries/357463/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 357463,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/357463/?format=api",
"text_counter": 76,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Kwa hivyo, Bunge hili lina jukumu kubwa kushinda mabunge ambayo yalitangulia kuhakikisha kwamba Wakenya hawana wasiwasi. Inafaa tutekeleze majukumu yetu bila kuachilia Wakenya kujiuliza serikali za ugatuzi zinawaletea wananchi nini na Serikali ya Kitaifa inaletea wananchi nini."
}