GET /api/v0.1/hansard/entries/357691/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 357691,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/357691/?format=api",
    "text_counter": 304,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Bedzimba",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1933,
        "legal_name": "Rashid Juma Bedzimba",
        "slug": "rashid-juma-bedzimba"
    },
    "content": "Asante sana, Bi Naibu Spika wa Muda. Kwa majina ninaitwa hon. Rashid Juma Bedzimba, Mbunge wa Kisauni. Nimesimama kuunga mkono Mjadala huu kwa sababu wazee wengi wenye umri wa miaka sitini na zaidi hawana ajira. Wengi wao huwategemea vijana wao ambao pia wengi wao hawana ajira. Hii imefanya hata sasa"
}