GET /api/v0.1/hansard/entries/357694/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 357694,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/357694/?format=api",
    "text_counter": 307,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "kuwe na uadui baina ya vijana na wazee, na sasa vijana wameanza kuwaita wazee wao wachawi. Sio kwamba wanawaroga lakini ni kwa sababu ya hali ya maisha ilivyo. Vijana wanakimbizana kulisha jamii zao lakini sasa imewabidi wawaangalie wazee. Ikiwa Serikali itaweza kuwapatia wazee matibabu ya bure na huduma nyingine ambazo zinahitajika wakiwa umri huo, itawapunguzia uzito vijana na hii italeta undugu na urafiki katika jamii."
}