GET /api/v0.1/hansard/entries/357695/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 357695,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/357695/?format=api",
    "text_counter": 308,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Nimesimama kuunga mkono Mjadala huu ili vijana wetu wapate afueni wakati wazee wanaangaliwa. Tunakubali kweli Serikali ina mfumo wa kuwalipa wazee kila mwezi lakini pesa zenyewe ni kidogo sana na wazee wanaolipwa ni wachache sana. Ningeomba kwamba waongezewe fedha na wazee wengi waweze kufaidika."
}