GET /api/v0.1/hansard/entries/358314/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 358314,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/358314/?format=api",
"text_counter": 247,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwadime",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2451,
"legal_name": "Andrew Mwadime",
"slug": "andrew-mwadime"
},
"content": "Shukrani Bw. Naibu Spika wa Muda kwa macho yako kunilenga na kunimpa fursa hii. Mimi natoka Mwatate, Taita Taveta County ambapo ninapakana na mbuga ya nyama pori ya Tsavo. Kwa kweli nashukuru kwa Hoja hii na ninaiunga mkono lakini nataka iwe na marekebisho. Ukiwauliza watu wa eneo Bunge langu kuhusu kuchagua kati ya kuwachunga na kuwaua ndovu watakuambia hawa wanyama pori wanawasumbua sana. Sisi hatujaona mvua kwa zaidi ya miaka mitatu. Tumeiona mwaka huu lakini mimea yetu imeharibiwa na wanyama pori."
}