GET /api/v0.1/hansard/entries/358315/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 358315,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/358315/?format=api",
"text_counter": 248,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwadime",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2451,
"legal_name": "Andrew Mwadime",
"slug": "andrew-mwadime"
},
"content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, kwa kweli naunga mkono kuongezwa kwa walinda wanyama pori, lakini tuangalie wale ambao wanaishi karibu na maeneo ya mbuga za wanyama pori. Bila hivyo, hawataona umuhimu wa kuwachunga wanyama pori; naunga hii Hoja mkono lakini nataka iwe na marekebisho. Nataka tuongeze askari wa kuhifadhi wanyama pori, tuhusishe watu ambao wamepakana nai mbuga zetu katika uchungaji wa wanyama pori."
}