GET /api/v0.1/hansard/entries/358602/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 358602,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/358602/?format=api",
"text_counter": 267,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 252,
"legal_name": "Ali Wario",
"slug": "ali-wario"
},
"content": "Asante sana Mheshimiwa Naibu Spika kwa fursa hii. Ninasimama kupinga Hoja hii kwa sababu kubwa ukiangalia Hoja hii haitoi mwongozo thabiti. Hoja hii inasema mashirika ya kiserikali yanapata mali kwa watu wanaoishi katika kaunti. Kitungo chochote, kikiwa ni cha kawi au uchukuzi, hata kile kiwanda kinachotengeneza risasi huko Eldoret kinatoka katika kaunti. Ni kitengo kipi cha uzalishi hakitoki kaunti? Hili ni swali la kwanza."
}