GET /api/v0.1/hansard/entries/358899/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 358899,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/358899/?format=api",
"text_counter": 184,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Kombe",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 250,
"legal_name": "Harrison Garama Kombe",
"slug": "harrison-kombe"
},
"content": "Ahsante, mhe. Spika. Ningetaka kiongozi wa chama cha walio wengi Bungeni atueleze kinaga ubaga mipango ya Serikali ya kuhakikisha kwamba wananchi wanaweza kutoa habari kwa polisi kwa njia mwafaka, na bila ya kushurutishwa. Mara nyingi vitendo vya ugaidi vinapoibuka kwenye maeneo ambako kuna makundi kama vile Mombasa Republican Council (MRC), uhalifu huo husingiziwa MRC mara moja. Hata hivyo, huwa hakuna wa kusingiziwa uhalifu unapofanywa na"
}