GET /api/v0.1/hansard/entries/358905/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 358905,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/358905/?format=api",
"text_counter": 190,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Aburi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2901,
"legal_name": "Lawrence Mpuru Aburi",
"slug": "lawrence-mpuru-aburi"
},
"content": "Jambo la nidhamu, Mhe. Spika. Kuna mpangilio ambao haueleweki vizuri katika Bunge hili kwa sababu unatoa fursa ya kuzungumza kwa Wabunge wa mrengo wa Jubilee upande huo na upande huu. Baadhi ya Wabunge wa mrengo wa Jubilee wakiona umetoa fursa upande huo, huvuka upande huu ili waweze kupata fursa ya kuzungumza. Tafadhali, lishughulikie suala hili."
}