GET /api/v0.1/hansard/entries/358911/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 358911,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/358911/?format=api",
"text_counter": 196,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Kombe",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 250,
"legal_name": "Harrison Garama Kombe",
"slug": "harrison-kombe"
},
"content": "Kwa hivyo, ninamwomba kiongozi wa chama cha walio wengi Bungeni kulieleza Bunge hili mikakati iliyonayo Serikali kuhakikisha kwamba wananchi wanaweza kutoa habari kwa polisi bila ya kushurutishwa ama kuhangaishwa. Polisi wa sasa wanatarajiwa kuzingatia utendakazi na uadilifu wanapotoa huduma kwa wananchi, na siyo kutumia nguvu na kuwahangaisha wananchi kama walivyokuwa wakifanya polisi hapo zamani. Ahsante, Bw. Spika."
}