GET /api/v0.1/hansard/entries/358924/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 358924,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/358924/?format=api",
"text_counter": 209,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. A.B. Duale",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 15,
"legal_name": "Aden Bare Duale",
"slug": "aden-duale"
},
"content": "Mhe Spika, nitajaribu. Nasemba kwamba kama Bunge na nchi ni lazima tuone kuwa Wakenya wamepata haki. Tutakifanyia mabadiliko kikosi chetu cha polisi. Wakati wa polisi kuwapiga watu ili kuwalazimisha watoe habari"
}