GET /api/v0.1/hansard/entries/359474/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 359474,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/359474/?format=api",
"text_counter": 759,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "Ahsante sana Naibu Spika kwa kunipa nafasi hii jioni ya leo ili niunge mkono Hoja hii ambayo tumeingâangâania, tumeililia na tumeitafuta kwa muda. Na huu utata ambao umeonekana humu Bungeni ni kwa sababu ya Kamati hizi mbili. Tunashukuru umetatuliwa. Naibu Spika, ombi langu ni kwamba, watu wawe na hekima wakati watakapotekeleza nyadhifa zao mbali mbali ili tuhakikishe kwamba tunawajibika na watu wa Kenya wamepata kile wanahitaji. Naomba wale Wabunge ambao wameteuliwa katika kamati mbali mbali, wahakikishe kwamba wamehitimu na kufanya ile kazi ambayo wamekuja kufanya katika Bunge hili. Kwa haya machache, nawatakia kila la heri Wabunge. Naunga mkono Hoja hii."
}