GET /api/v0.1/hansard/entries/359483/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 359483,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/359483/?format=api",
"text_counter": 768,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Yangu ni machache sana. Naunga mkono uongozi wa wachache. Inafaa tushirikiane kwa mambo yote. Nimepata ujumbe mfupi kupitia kwa simu kutoka kwa wananchi wakiniambia nimsalimie mhe. Ababu Namwamba. Kwa hivyo, uhusiano wetu hapa utaweza kujenga hata mashinani tukionekana kuwa tunashirikiana. Nimepata ujumbe mfupi mara kumi na nitamsalimia mhe. Ababu mara kumi. Tumemuona mhe. Ababu akiwa karibu sana na Mwenyekiti wa CORD na wananchi wanaona uongozi wa CORD ukiendelea vizuri na wanamhesimu kiongozi wa CORD."
}