GET /api/v0.1/hansard/entries/359881/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 359881,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/359881/?format=api",
    "text_counter": 345,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. S.A. Ali",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": "Hoja hii inafuatana na Katiba yetu ambayo tuliipitisha kwa kusema kwamba tutawasimamia na kuwasaidia wazee. Jambo hili liko katika Kipengee cha 57 cha Katiba ya Kenya. Kipengee hiki kinasema: “The State shall take measures to ensure the rights of older persons.” Kipengee cha 57(d) kinasema: “to receive reasonable care and assistance from their family and the State.”"
}