GET /api/v0.1/hansard/entries/360396/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 360396,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/360396/?format=api",
    "text_counter": 132,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms) Chidzunga",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 751,
        "legal_name": "Zainab Kalekye Chidzuga",
        "slug": "zainab-kalekye-chidzuga"
    },
    "content": "Kwa hivyo, inafaa Hoja hii irekebishwe kuitaka Serikali itoe pesa za kutosha kujenga mabwawa katika kila sehemu yenye wanyama kwa wingi. Mabwawa haya hayatamsaidia tu mfugaji, bali yatawasaidia wananchi wengine kupata chakula kwa kunyunyuzia mashamba yao maji. Kwa njia hiyo, tutakuwa tumeua ndege kumi kwa jiwe moja."
}