GET /api/v0.1/hansard/entries/360610/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 360610,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/360610/?format=api",
"text_counter": 346,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. S.A. Ali",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": "Mheshimiwa ameelezea usaidizi ambao wazee wetu wanaweza kupata. Moja ni kuwa wazee wa umri wa miaka 60 na zaidi wahudumiwe katika hospitali zetu bila malipo yoyote. Hii ni kwa sababu mzee ataenda hospitalini, aambiwe alipe shilingi mia mbili na hajui atoe hizo pesa wapi. Ningeomba tulizingatie suala hili sana."
}