GET /api/v0.1/hansard/entries/360620/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 360620,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/360620/?format=api",
"text_counter": 356,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Bedzimba",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1933,
"legal_name": "Rashid Juma Bedzimba",
"slug": "rashid-juma-bedzimba"
},
"content": "Mhe. Naibu Spika wa Muda, wale wazee ambao wako pale, ni miaka miwili sasa; wanakufa mmoja mmoja na sasa wanaona kwamba wanaanza kulaumu Serikali na kuilaani na ndio sababu tunapata mambo mengi na maafa. Ningeomba wazee wetu waangaliwe ili tuzuie laana kwa taifa letu. Kuhusu usalama wa kitaifa, uko katika majaribio. Mavamizi katika sehemu za magharibi; magengi katika sehemu za Mandera na sehemu nyingi za taifa, hata sehemu za Pwani imekuwa shida kubwa. Kila siku kuna vikundi vipya vimejiunda na wanakula"
}